MISTARI YA WIMBO HUU

Nikilala naota naota kama unaniita
Ila nafsi inasita mpenzi ipo siku ntaitika
Nikilala naota ta naota kama unaniita ta

Si unakumbuka zamani mimi na wewe kanisani
Tuliapa mbele ya wazazi yaani hatutoachana
Kwa dhiki na faraja yaani hatutoachana
Uanze wewe au mimi yaani hatutoachana
Iweje leo unanikana hadharani
Iweje leo unaniona sifai
Iweje leo unaniona wa zamani
Si unakumbuka zamani
Si unakumbuka zamani

Nikilala naota naota kama unaniita
Ila nafsi inasita mpenzi ipo siku ntaitika
Nikilala naota ta naota kama unaniita ta
Ila nafsi inasita mpenzi ipo siku ntaitika
Nikilala naota naota kama unaniita
Ila nafsi inasita mpenzi ipo siku ntaitika

Sitaki kumbuka zamani mimi na wewe kanisani
Nilivyoapa mbele ya shahidi yaani hatutoachana
Na sasa tunatengana na pete yako chukua
Ulianza mimi namaliza yaani sikutaki tena
Uliniacha ukaenda randa randa
Ulinitenda ah bila ya huruma
Iweje leo unione wa thamani
Sitaki kumbuka zamani
Sitaki kumbuka zamani eh eeh

Mimi sitaki ota kuota kama unaniita
Yangu nafsi inasita kwako kamwe sitoitika
Mimi sitaki ota ta kuota kama unaniita ta
Yangu nafsi inasita kwako kamwe sitoitika
Mimi sitaki ota kuota kama unaniita
Yangu nafsi inasita kwako kamwe sitoitika

Nikilala naota naota kama unaniita
Ila nafsi inasita mpenzi ipo siku ntaitika
Nikilala naota ta naota kama unaniita ta
Ila nafsi inasita mpenzi ipo siku ntaitika
Nikilala naota naota kama unaniita
Ila nafsi inasita mpenzi ipo siku ntaitika

Mimi sitaki ota kuota kama unaniita
Yangu nafsi inasita kwako kamwe sitoitika
Mimi sitaki ota ta kuota kama unaniita ta
Yangu nafsi inasita kwako kamwe sitoitika
Mimi sitaki ota kuota kama unaniita
Yangu nafsi inasita kwako kamwe sitoitika

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI