MISTARI YA WIMBO HUU

Ni zamu yangu
Mimi kuwa nawe
Ni zamu yangu
Wewe kuwa nami
Ni zamu yangu
Oh oo oh hoo
Ni zamu yangu
Mimi kuwa nawe
Ni zamu yangu
Wewe kuwa nami
Ni zamu yangu
Oh oo oh hoo

Maishani najua umepitia wengi
Wanene wembamba weupe hata weusi
Lakini bado tu haujampata
Malkia wako
Wengi wao wamekuumiza sana moyo
Nasikia mpaka umeamua
Kuachana na jambo hili la mapenzi
Uishi peke yako

Ila nakwambia ukinipa nafasi
Nitakukamilisha ridhisha furahisha

Ni zamu yangu
Mimi kuwa nawe
Ni zamu yangu
Wewe kuwa nami
Ni zamu yangu
Oh oo oh hoo
Ni zamu yangu
Mimi kuwa nawe
Ni zamu yangu
Wewe kuwa nami
Ni zamu yangu
Oh oo oh hoo

Usisite usiwe na wasi wasi
Ukweli ni kwamba mimi si kama wao
Tabia zangu sio kama zao
Na nia yangu tofauti na yao
Si vizuri uishi mwenyewe
Wakati mimi nipo kwa ajili ya wewe
Njoo kwangu mimi basi upate mapenzi
Ya kweli

Hivyo nakwambia ukinipa nafasi nafasi
Nitakukamilisha ridhisha furahisha

Ni zamu yangu
Mimi kuwa nawe
Ni zamu yangu
Wewe kuwa nami
Ni zamu yangu
Oh oo oh hoo
Ni zamu yangu
Mimi kuwa nawe
Ni zamu yangu
Wewe kuwa nami
Ni zamu yangu
Oh oo oh hoo

Nafurahi kuona unajidai you’re so beautiful girl
Usinikatae ili baadae wasikushangae you know
You look so cute uko sexy you’re so amazing girl
I see Fid Q next to you so it’s crazy yo
Nadata-ta-ta na viwalo unavyonyuka
Kama Sea Sea we Mivalo na Nguza ah
Nikikuona natoka na goosebumps
Walionichuna kama buzi nawaona ka bubblegums
Mimi na wewe kama Sharoz na Jaffarhymes
We ni mafia kama Carlos ulivyoniteka sijifahamu
Waache wale kona nashukuru pia uliwaona
Walivyotusimangia dona na nguli wa kuchoma
Walinitumia tu kama njia ya kuwasafishia nyota
Wakan’kimbia wakarudia wakalia mpaka wakachoka
Kidume nasimama kiume kama Juma
Demu akinipenda nampenda akinizingua namuacha nyuma

Ni zamu yangu
Mimi kuwa nawe
Ni zamu yangu
Wewe kuwa nami
Ni zamu yangu
Oh oo oh hoo
Ni zamu yangu
Mimi kuwa nawe
Ni zamu yangu
Wewe kuwa nami
Ni zamu yangu
Oh oo oh hoo

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI