MISTARI YA WIMBO HUU

Kama wanipenda
Kaninunlie zeze
Nikilala kitandani
Zeze la lanibembeleza
Kama wanipenda
Kaninunlie zeze
Nikilala kitandani
Zeze la lanibembeleza

Mateso moyoni
Usiku silali
Hadithi sitaki
Nataka zeze
Penzi lako la thamani
Mtanashati jamani
Usiku silali
Nakupenda zeze

Kama wanipenda kaninunulie zeze
Nikilala kitandani zeze lanibembeleza
Kama wanipenda kaninunulie zeze
Nikilala kitandani zeze lanibembeleza

Majungu sitaki
Zeze langu silapati
Mapepe sipendi
Mapepe sipendi
Penzi lako burudani
Tuwapo kitandani
Zeze langu maanani
Zeze langu maanani

Kama wanipenda (wanipenda)
Kaninunulie zeze (ooh noo)
Nikilala kitandani(mmmh)
Zeze langu lanibembeleza (uuh yeeee)
Ooh yeee oohh yeee

Kama wanipenda (wanipenda)
Kaninunulie zeze (ooh noo)
Nikilala kitandani(mmmh)
Zeze langu lanibembeleza (uuh yeeee)
Ooh yeee oohh yeee

Sitakii
Silipati
Sitaki
Sipendiii oohuu yeeee
Nasema tena sipendi burudani (burudani)
Kitandani oyee
Manani (manani, maanani)

Aah ahh
Mpenzi zeze sema vipi basi kama unanikata
Mpenzi zeze sema basi kabla haijawa balaa
Usinilete mapozi njoo kwa mwanasanaa
Punguza gozi gozi machizi watakushanga
Kama unanipenda njoo uniimbie ‘lulaby’
Njoo upige zeze tucheze tupati tuwe hai
Wanga wakisema nadhani usiku watalala
Zeze anapigiwa mjanja, zeze apigiwi fala
Kama unanipenda kaninunulie si hatari
Kama uko tayari twende home tujivinjari
Jay Moe na TID ndani ya sauti ya dhahabu
Ni soo ongeza biidi wewe kwangu ndo Jide

Kama wanipenda (wanipenda)
Kaninunulie zeze (ooh noo)
Nikilala kitandani(mmmh)
Zeze langu lanibembeleza (uuh yeeee)

Kama wanipenda (wanipenda)
Kaninunulie zeze (ooh noo)
Nikilala kitandani(mmmh)
Zeze langu lanibembeleza (uuh yeeee)

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI