MISTARI YA WIMBO HUU

Hiyo mistari inayoitwa taarifa ya habari oya
Zima
Ile ya kuunga unga mibovu ya kizushi
Sijui nini George anarudi Bush
Zima
Wachanaji wasio na vina hizo ngoma zote
Zima
DJ unataka hela
Aisee sina kwenye kipindi chako wimbo wangu
Zima
Hata Redio yenu kucheza kazi zangu wala sio lazima
Oya nani P the MC washa TV Bunge la Katiba huwa siangalii
Zima
Weka ata Mieleka Ya John Cena
Good Music sitaki
Zima
Kwaito
Zima
Kiduku Zima
Nyimbo za mapenzi zenye mambo ya kishenzi siziwezi
Zima (eeh)

FNL na XXL
Zima
Power J powered by day
Zima
Mpigie kura msanii unaemtaka kwenye tuzo za Kili
Tangazo kama hili hakuna cha kusubiri
Zima
Baba unasemaje
Zima
Antvirus yangu mi ndo inaua wadudu
Ya Mheshimiwa yule mwenye vurugu
Tayari imeishatubu
Harakati bubu
Zima
Hotuba ya Mkwere aliyoweka msimamo wa chama chake mbele
Zima
Azam ndo mabingwa habari za Yanga mara sijui Simba
Zima
Watangazaji wanaigana ama nini dizaini kama ushoga mtupu
Vipindi vya mchana sisikilizi
Zima
Kuchapiwa siri ya ndani
Hayo maneno alisema nani
Oya Richard analeta utani
Zima

Wakichana Kiswahili wanaskika kama Kichina
Kingereza ndo wanaweza nikasema aisee
Zima
Wakichana Kiswahili wanaskika kama Kichina
Kingereza ndo wanaweza nikasema aisee
Zima

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU