MISTARI YA WIMBO HUU

Mafunzo yote
Pozi zote
Mauzo yote
Eti binti hanitaki
Nimesubiri sana
Nimechukua za uso kudadadeki
Si uzoba huu
Aiyeya

Subira yangu ndio iloniponza
Ngoja ngoja naonekana zoba
Subira yangu ndio iloniponza
Ngoja ngoja naonekana mjinga
Kwa sababu nilimpenda kweli
Kwa sababu nilimpenda kweli
Kwa sababu nilimpenda kweli
Kwa sababu nilimpenda kweli

Mawazo mawazo yatawala kichwa changu eh
Maumivu maumivu yamevunja moyo wangu eh
Kusubiri kusubiri nimekusubiri mpenzi wangu eh
Lakini umekuja kuuvunja moyo wangu eh
Nilikuwa nikiamini nisifanye jambo lolote na we
Mpaka tuje tufunge ndoa umalize na masomo
Huko umekwenda umebadilika mama
Umebadilika umebadilika sana eh

Uwowo wo wo wowo
Mama yoh mama yoh
Mama yoh mama yoh mama yoh
Unaniona mimi zoba zoozoba yoh
Ayeeh

Subira yangu ndio iloniponza (imeniponza mie)
Ngoja ngoja naonekana zoba (zoba la mapenzi eh)
Subira yangu ndio iloniponza (nimepotezwa mie)
Ngoja ngoja naonekana mjinga (sijui la kufanya eh)
Kwa sababu nilimpenda kweli (kwelii eh)
Kwa sababu nilimpenda kweli (nilimpenda kweli)
Kwa sababu nilimpenda kweli (nilimpenda kweli oh)
Kwa sababu nilimpenda kweli (mama yoh mama yoh)

Inauma sana mpenzi wako
Wampenda sana wamlinda sana
Wapata habari kumbe mwenzako
Kampenda sana rafiki yako (kampenda rafiki yako)
Ndo maana juzi umeacha mazoezi
Ndo maana siku hizi hautaki kuwa na mimi
Mapenzi (mapenzi) yananiumiza (yananiumiza)
Mapenzi (mapenzi) yananitesa (nitakulinda wewe)
Maumivu ya mapenzi zaidi ya mwiba
Sikitiko la mahaba lashinda msiba
Nitakulinda mama nitafanya jambo lolote kwa ajili yako
Ntahakikisha nakuwa na wewe wewe wewe wewe

Mama yoh mama yoh mama yoh
Unaniona mimi zoba zoozoba yoh
Ayeeh

Subira yangu ndio iloniponza
Ngoja ngoja naonekana zoba (zoba la mapenzi eh)
Subira yangu ndio iloniponza (nimepotezwa)
Ngoja ngoja naonekana mjinga (sijui la kufanya)
Kwa sababu nilimpenda kweli (zaidi ya mapenzi)
Kwa sababu nilimpenda kweli (nilimpenda kweli)
Kwa sababu nilimpenda kweli (nilimpenda zaidi eh)
Kwa sababu nilimpenda kweli

Mama yoh mama yoh (mama yoh)
Mama yoh mama yoh mama yoh (mama yoh)
Mama yoh mama yoh (mama yoh)
Yo oh oo

Mapenzi mapenzi mapenzi mapenzi mapenzi
Mapenzi mapenzi mapenzi mapenzi mabaya
Mapenzi mabaya mapenzi mabaya
Mapenzi mabaya mapenzi mabaya

Mbona mwenyewe nimeamua kusubiri
Kusubiri kusubiri gogo gogo go
Usifanye mama nikaonekana zoba
Mi nitakungoja siku zote mama

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU