MISTARI YA WIMBO HUU

Washinda ugangani walala uchawini
Ati uniroge mimi nimekuudhi nini
Washinda ugangani walala uchawini
Ati uniroge mimi nimekuudhi nini
Kazi yangu si nyepesi ayaya
Nikipata kidogo unanuna
Kidogo unavimba
Huishi kunisema ayaya
Wenda ipo sababu tulitatue
Tulitatue tulitatue tulitatue
Daily kwako hakuishi bifu
Basi nambie basi nambie
Tusisuguane

Unapenda zogo (zogo)
Unazua uongo (uongo uongo)
(Zogo zogo zogo zogo zo)
Unapenda zogo (zogo)
Unazua uongo (uongo uongo)
(Zogo zogo zogo zogo zo)

Walisema mangapi leo wako wapi
Walipiga kelele (ah) nasonga mbele
Wanaona gere eh

Moyo wako (umejawa usuda)
Dua zako (uniombea majanga)
Ah ah uniombea majanga
Nichunguza maishani
Kwa maneno hayafanani
Kiati umefunzwa na nani?
Nikipata kidogo unanuna
Kidogo unavimba
Huishi kunisema ayaya
Wenda ipo sababu tulitatue
Tulitatue tulitatue tulitatue
Daily kwako hakuishi bifu
Basi nambie basi nambie
Tusisuguane

Unapenda zogo (zogo)
Unazua uongo (uongo uongo)
(Zogo zogo zogo zogo zo)
Unapenda zogo (zogo)
Unazua uongo (uongo uongo)
(Zogo zogo zogo zogo zo)

Unapenda zogo (zogo)
Unazua uongo (uongo uongo)
(Zogo zogo zogo zogo zo)
Unapenda zogo (zogo)
Unazua uongo (uongo uongo)
(Zogo zogo zogo zogo zo)

Unapenda zogo unapenda zogo
Unapenda zogo
Zogo zogo kila siku kuzogo
Unapenda zogo unapenda zogo
Wewe
Unapenda zogo unapenda zogo
Ah ah

(Ah B Daddy)

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU