Diamond Platnumz

Wasanii wengine kwa Herufi


Majina Kamili : Naseeb Abdul
Lakabu : Chibu Dangote, Simba
Kuzaliwa : 02/10/1989 (Umri wa Sasa 34)
Mji wa Nyumbani : Kigoma, Tanzania
Shughuli/Zana : Mtunzi, Mwimbaji/Sauti, Gitaa
Mahadhi : Bongo Flava, Afro-Pop
Lebo/Studio : WCB/Wasafi Records
Alioshirikiana nao : Ommy Dimpoz, Victoria Kimani, Linex, Davido, Iyanya, Bracket, Flavour N'abania, Ne-Yo, Tiwa Savage, Morgan Heritage, Patoranking
Menejimenti : Babu Tale/Said Fella
Tovuti : www.wasafi.com

Naseeb Abdul Juma (kuz. 2 Oktoba 1989) almaarufu –Diamond Platnumz– ni mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania.

Toa Maoni Hapa