Majina Kamili : | Doudou Manengu |
Mahadhi : | Injili |
Doudou Manengu ni mwanamuziki na muimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Kenya. Miongoni mwa nyimbo zake maarufu ni Nina Haja Nawe, Nikulinganishe na Nani, Roho Yangu, Usinipite Mwokozi na nyinginezo kwenye mkusanyiko wa nyimbo za ibada za Kikristu, Tenzi za Rohoni.