Majina Kamili : | Farid Kubanda |
Lakabu : | Ngosha |
Kuzaliwa : | 13/08/1982 (Umri wa Sasa 41) |
Mji wa Nyumbani : | Mwanza, Tanzania |
Shughuli/Zana : | Mtunzi, Mwimbaji, Mghani/Sauti |
Mahadhi : | Hip-Hop |
Lebo/Studio : | Bongo Records |
Alioshirikiana nao : | Mr. Paul, TAZ, Naj, Adili, Langa, Rich Mavoko, Maunda Zorro |
Tovuti : | https://twitter.com/FidQ |
Farid Kubanda(kuz. 13 Agosti 1982) almaarufu -Fid Q- ni mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania.