Prof. Jay

Wasanii wengine kwa Herufi


Kuzaliwa : 29/12/1975 (Umri wa Sasa 46)
Mji wa Nyumbani : Mikumi, Tanzania
Mahadhi : Bongo Fleva, Hip-Hop

Joseph Haule (Mb.) ni miongoni mwa waimbaji wa kwanza wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania na anatajwa kuwa mmoja wa waasisi wa Bongo Fleva. Kwa sasa ni Mbunge kwenye Bunge la Jamhuri ya Tanzania akiwakilisha Jimbo la Mikumi, Morogoro.

Toa Maoni Hapa