Saida Karoli

Wasanii wengine kwa Herufi


Majina Kamili : Saida Karoli
Kuzaliwa : 04/04/1976 (Umri wa Sasa 45)
Mji wa Nyumbani : Bukoba, Tanzania
Mahadhi : Asili
Lebo/Studio : Nyahunge Studios
Alioshirikiana nao : Banana Zorro, G Nako, Chege, Belle 9

Saida Karoli (kuz. 4 Aprili 1976) ni msanii wa muziki wa asili kutoka nchini Tanzania. Saida anafahamika kwa nyimbo zake maarufu kama Maria Salome, Kichaka na Mpenzi Nakupenda alioshirikiana na Banana Zorro.

Miongoni mwa mafanikio yake ni pamoja na na wimbo wake wa Maria Salome kutumika kwenye filamu ya Holywood ya Peeples iliyotayarishwa na Tyler Perry kutoka nchini Marekani.

Toa Maoni Hapa

MISTARI YA NYIMBO ZAKE

1. Kichaka