SaRaha

Wasanii wengine kwa Herufi


Kuzaliwa : 26/06/1983 (Umri wa Sasa 39)
Mji wa Nyumbani : Vänersborg, Sweden
Mahadhi : Bongo Fleva, Afro-Pop
Tovuti : www.saraha.se/

Sarah Larsson maarufu kama ‘SaRaha’ ni msanii wa Bongo Fleva mzaliwa wa Sweden ambaye hufanya shughuli zake nchini Tanzania. Tanesco ni miongoni mwa nyimbo zake maarufu, ikizungumzia adha ya umeme kwa wakati huo nchini Tanzania.

Toa Maoni Hapa

MISTARI YA NYIMBO ZAKE

1. Jambazi
5. Shemeji
6. Tanesco
7. Uwongo