Vitali Maembe

Wasanii wengine kwa Herufi


Kuzaliwa : 20/08/1976 (Umri wa Sasa 45)
Mji wa Nyumbani : Bagamoyo, Tanzania
Shughuli/Zana : Mtunzi, Mwimbaji, Mpiga Gitaa
Tovuti : www.vitalimaembe.com/

Msanii wa muziki wa Kiafrika kutoka Bagamoyo, Tanzania. Sumu ya Teja ni moja ya kazi zake maarufu, wimbo unaozungumzia athari za madawa ya kulevya kwa vijana wa mitaani.

Toa Maoni Hapa

MISTARI YA NYIMBO ZAKE

2. Vuma