Majina ya Wasanii / Waimbaji

BLOGU

Tusiiache taarabu asili iponyoke mikononi mwetu

  Picha kwa hisani ya Mtandao wa Bongo5 NAPATA ukakasi ninaposikia matangazo ya muziki wa taarabu au bendi inayopiga taarabu, kwani ninapoingia kwenye kumbi unapopigwa muziki huo, sisikii taarabu hata moja. Kwa mtizamo wangu na kwa jinsi ninavyoifahamu taarabu, hiki kinachopigwa sasa na kuitwa taarabu sicho. Ni udanganyifu mkubwa. Labda kwa kuwa wanamuziki na viongozi […]

Read More

Wimbo ni Mali ya Nani?

NAOMBA nianze makala ya leo moja kwa moja kwa kuuliza swali. Wimbo ni mali ya nani miongoni mwa wanamuziki wa Tanzania? Sababu ya kuuliza swali hili ni migogoro ambayo imekuwa ikijitokeza miongoni mwa wanamuziki wetu kudaiana uhalali wa umiliki wa nyimbo. Naomba nitoe mifano miwili ya matukio ya hivi karibuni. Mfano wa kwanza ni mgogoro […]

Read More